Codedfilm

  • Category Video
    Nollywood Ghallywood Hollywood Bollywood Goals Highlight Latest Movies BBNaija Mark Angel ApataTv Yorubahood
  • About Us
  • Privacy Policy
  • Copyright Claims
  • Contact Us

Download DAZ NUNDAZ-BARUA

Loading the player...


Published on 23 February 2017 by Mathias Rojas
Views: 682,438
Duration: 05:13

DOWNLOAD HERE

SHARE: Facebook Twitter
Codedwap

DAZ NUNDAZ-BARUA

Daz Nundaz - BaruaOya namna gani mzee, ah, mbona leo uko hivi mzee, basi tuuu.Vipi mchizi wangu mbona naona umesizi, unaonekana kama moyoni una majozi, au dili zako leo haziendi sawa, jinsi unavyoonekana kama umepagawa, niambie ili nielewe ili na mie nisipagawe, kwani tangu nimefika nakuona umepooza, hebu niambie kitugani unachowaza, sema basi, ni nini kinachokusumbua nafsi, niambie basii au kuna kitu kimekuugasi.Aah we mola acha tuu wangu mkachaa, ni story ndefu nikianza kukupaa, ubongo wangu nahisi kama unazafilika, kwa haya matatizo makubwa yaliyonifika, shemeji yako nadhani unamjuaa, ambaye kichwa changu alikichenguaa,Baada ya kuishi muda mrefu na wangu lazizii, ikabidi niende kuwataarifu wazazii, kwamba nimeshampata mwenzanguuu, ambaye nitafunga naye pingu za maisha, na nilikuwa na hakika hakuna ambaye atatutenganishaa, basi bwana baada ya kurudi yangu safarii, nikakuta mlango wa gheto umepigwa kufulii, nauliza watu wote sipati jiiibu, niko zangu kwa mwenzako ulionisibuu, nikaanza kusaga tunda langu kwa sanaa, lakini jitihada mwisho zikashindikana, nikaamua basi tu mi kutulizana, nikawasitoki nje nipo ndani tu nalalaa, huku mawazo mengi kichwani yamenitawalaa,KIITIKIOKatika mahaba tulishazama dibwnini lakini barua niliopokea nashindwa hata kuamini, ua langu moyo wangu halipo tena na mimi,barua hii, jamani inanihuzunishaa, kila nisomapo moyo unasononekaa,na ufukara ndio uliotutenganishaaaa,subiri basi story nikumalizieenhemkasa huu mwanangu ulionifika mieenhehususani imepita wiki kadhaa, ndipo hapo nikapokea baruaa, kilichokuwa ndani sikukitambuaa, nikaja kuelewa baada ya kuifunguaaa, nikakuta barua yenye ujumbe mzito, ikiwa imeambatana na kadi ya mwaliko, ndege wangu ameluka hayupo tena namii, sasa hivi sijui mwenzangu mimi nanii, hali yangu duni imenifanya kuelemewa, na hivi karibuni demu wangu anaolewa. barua inanisisitiza Harusini niuruliee, sijui siku hiyo hata wapi mi nianziee, mpenzi umeniacha kwenye nyavu nimenasa, nimebaki kama kipofu sioni pa kupapasa, nikisoma barua hii kumalizia huwa nashindwaa, kwani nahisi kama ulivyonishadundaa,Shika mwenyewe usome barua eeh, soma mwenyewe uone barua eeh, shika mwenyewe usome barua eeh, soma mwenyewe uone barua eehIkufikie wangu wa enzi mpenzi,mi kiafya mzima, natumai na we kiafya uhai,dhumuni la barua ni kukutaka na wewe kujua, mimi ni Assa na kipi kisa na mkasa, kilichonishawishi bali nawe mpenda kuishi, sio siri mimi binafsi kupenda kuishi maisha duni ya chini sana, kumbuka ufukara umasikini kututenga vimechangia, ila usipinge bwana,sasa nani alaumiwe unadhani, hivi punde tu nataraji kufunga pingu maishani ili niishi maisha ya thamani, yaliyogharama tena adimu na tena adimu kama Almasi, fanya hima usikose harusini ukipata nafasii, katika barua hii nimeambatanisha kadi hii ya mwalikoo ni yakoo.......Basiii usimalizie kusoma, basiii usimalizie kusoma, Kwani ukiendelea moyo wangu unauchomaa kwa kuondoka wangu huyu mpenzii, moyo wangu umejawa na simanzi, niliamini tutatenganishwa na umauti, sasa nimekubali fukara hana sauti, molla ndiye anayegawa umasikini na utajirii, naye hali yangu mpenzi ameshindwa kuihimilii, na ndio maana unaniona leo nimeshika taama, utadhani kifaranga aliyekosa mama, aliyemgaia yeye ndie aliyenipa mimi ufukaraa, lakini naamini ipo siku nyota yangu itang'araa.KIITIKIOKatika mahaba tulishazama dibwnini lakini barua niliopokea nashindwa hata kuamini, ua langu moyo wangu halipo tena na mimi, barua eeh, jamani inanihuzunishaa, kila nisomapo moyo unasononekaa, na ufukara ndio uliotutenganishaaaa.



Related Videos
Download  Mp3 and Videos
by: - -1 year ago
Download Daz Baba  Kamanda - (Video Official ) Lyrics  -4k- Mp3 and Videos
Daz Baba Kamanda - (Video Official ) Lyrics -4k- by: Dir Chrisnix Tz - 1 year ago
Download Boss | Ferooz | Official HQ Audio Mp3 and Videos
Boss | Ferooz | Official HQ Audio by: Mziiki - 5 year ago
Download mikasi -ngweair Mp3 and Videos
mikasi -ngweair by: delp307 - 14 year ago
Download Madee ft Tunda Man -  Pesa Mp3 and Videos
Madee ft Tunda Man - Pesa by: Madee Seneda - 8 months ago
Download DAZ Nunda   Barua Mp3 and Videos
DAZ Nunda Barua by: JUNIH TZ - 1 year ago
Download Zali la Mentali Prof Jay fet Juma Nature Mp3 and Videos
Zali la Mentali Prof Jay fet Juma Nature by: ProfessorJay - 7 year ago
Download Ferooz ft Proffesor Jay - Starehe Mp3 and Videos
Ferooz ft Proffesor Jay - Starehe by: BongoGengeFlava - 12 year ago
Download daz baba nipe tano Mp3 and Videos
daz baba nipe tano by: Bongo5 - 9 year ago
Download nitoke vipi , mr misosi Mp3 and Videos
nitoke vipi , mr misosi by: delp307 - 14 year ago
Download Spack & Tundaman - Nipe Repoti Mp3 and Videos
Spack & Tundaman - Nipe Repoti by: reggaealmi1 - 11 year ago
Download Bongo zamani part 7 by DJ KASELA non stop Mp3 and Videos
Bongo zamani part 7 by DJ KASELA non stop by: Kasela, Joseph - 2 year ago
Download DAZ BABA FT AFANDE SELE X FEROOZ -ELIMU DUNIA Mp3 and Videos
DAZ BABA FT AFANDE SELE X FEROOZ -ELIMU DUNIA by: daz baba - 2 year ago
Download Si uliniambia (waja) Mp3 and Videos
Si uliniambia (waja) by: sumz81 - 14 year ago
Download Tendwe Nzetu - Chege Ft Mh temba, Ferouz and YP - Official Version Video Mp3 and Videos
Tendwe Nzetu - Chege Ft Mh temba, Ferouz and YP - Official Version Video by: Mziiki - 5 year ago
DAZ NUNDAZ-BARUA
Download Format MP3 :




Download Format Videos :


© Copyright 2021 • Codedfilm • All Rights Reserved