Sio maamuzi rahisi kwa Rais wa nchi kuruhusu ibada ziendelee kwenye nyakati ambazo tunakabiliwa na janga la Corona.Inahitaji misuli ya imani kufanya maamuzi haya.Tunamuomba MUNGU asimame na Tanzania, asimame na Rais wetu na viongozi wetu katika kipindi hiki kigumu.