Codedfilm

  • Category Video
    Nollywood Ghallywood Hollywood Bollywood Goals Highlight Latest Movies BBNaija Mark Angel ApataTv Yorubahood
  • About Us
  • Privacy Policy
  • Copyright Claims
  • Contact Us

Download Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1

Loading the player...


Published on 13 February 2021 by YahStoneTown
Views: 168,962
Duration: 35:35

DOWNLOAD HERE

SHARE: Facebook Twitter
Codedwap

Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/supportSUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubsListen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNaAudiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNaHuyu si moja ya marafiki zangu, as in si Mtu ambaye nafahamiana naye sana, ambaye nilishawahi kukaa naye muda mrefu na kupiga story, au kusafiri naye au kuwa studio wakati anafanya mambo yake au namjua mzazi wake au mtu wake wa karibu kwenye familia yake ila nawajua watu ambao wanamfahamu kwa ukaribu na watu hao ndio ambao walinipa mimi mawazo ya kutaka kumfahamu vizuri binti huyu hodari wa ki Tanzania bila ya hata ya wao kujua.Baadhi ya Dada zangu walifahamiana naye kwenye kipindi cha msiba wa Marehemu Ruge Mutahaba, kipindi hiko kilikua cha masikitiko kwao na kwake pia. Nandy alikua na ukaribu mwingi na Ruge, alishawahi kumtembelea hospitali mara kadhaa na pia alikua na mawasiliano ya moja kwa moja na watu wa karibu wa familia kipindi kile ambacho Ruge alikua hana tena mawasiliano naye moja kwa moja. Siku ambayo Ruge alitangulia mbele za haki, muda si mrefu kabla ya hilo kutokea Nandy ananiambia alizungumza na nesi wa zamu siku hiyo na pia alimuekea simu kwa ukaribu na alimsikia akiwa anapumua. Wapi alikua wakati anapata habari hii iko kwenye maongezi yetu haya, humu pia utaelewa connection ambayo sisi binadamu tunayo na watu ambao tunawapenda na wanao tupenda.Najua siku hazigandi kama ambavyo Lady Jd alishawahi kuimba na ndio nikawaza, hivi ushawahi kuwaza Nandy amekua kiasi gani toka msiba wa Ruge utokee? Unakumbuka baadhi ya maneno yaliosemwa juu ya career yake baada ya msiba ule? Tunafahamu kwamba alipoteza rafiki, mentor, baba na kama tochi yake. Mimi huwaza haya sana, na hilo la yeye kujidhatiti na kukaza mwendo ndio ambalo lilifanya mimi binafsi niseme you know what, it’s time.Nandy ni MPAMBANAJI, anaupenda muziki na kama mtu mwengine yeyote mwenye jitihada basi Mungu humfungulia milango ya Kheri. Kaniambia humu kwenye maongezi yetu kwamba safari yake ya kwanza kwenda nchini Nigeria kwenye mashindano ya kuimba alimuambia Mama yake wakati yumo ndani ya ndege, alipomaliza hotuba yake fupi alizima simu na wheels up, to Lagos ambako alihakikisha anapigana mpaka fainali na kumaliza nafasi ya tatu. Si kitu kidogo kwa binti ambaye aliamua kuweka shule pembeni ili atimize ndoto yake, ndoto ambayo hata Mama yake mzazi hakua na taarifa nayo.Siku zinakwenda, maisha yanasonga na yeye ameendelea kukimbiza ndoto yake na mpaka tunaenda mitamboni, Nandy ni mmoja wa wasanii wa kike wakubwa sana hapa nyumbani na barani Afrika na hata Ulaya na Marekani na ukitizama vizuri utajua kwamba huu ni mwanzo tu wa mazuri ambayo yatatokea katika maisha yake. Mimi na yeye tulizungumzia mahusiano hayo pamoja na kukimbiza ndoto zetu. Tuliongelea Bill Nas na kiwanda cha muziki wa Bongo Flava. Tuliongelea muziki wake na collabo ambazo amewahi kufanya. Hapo hapo nilitaka kujua pia yeye ni mtu wa aina gani na ni vitu gani vinamsukuma kutaka atake zaidi na sehemu ambayo anajiona huko mbeleni In Shaa Allah.Yangu matumaini kama kawaida ni kwamba utajifunza mawili matatu ambayo yatakusaidia kupambana na mitihani ya maisha kwasababu tu umejifunza kutokana na sehemu wenzetu hupitia kwenye maisha yao.Tafadhali Enjoy.Love,Salama.Soundtrack Yeah by @MarcoChali https://www.youtube.com/watch?v=Cue1HB4fnLQFollow:Twitter: http://twitter.com/YahStoneTownInstagram: http://Instagram.com/YahStoneTownFacebook: http://facebook.com/YahStoneTownChannel Administered by Slide DigitalInstagram: www.instagram.com/slidedigitaltz



Related Videos
Download Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 2 Mp3 and Videos
Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 2 by: YahStoneTown - 2 months ago
Download Tanzanian Women All Stars - Superwoman (Official Video) Mp3 and Videos
Tanzanian Women All Stars - Superwoman (Official Video) by: Wasafi Media - 1 year ago
Download Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1 Mp3 and Videos
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1 by: YahStoneTown - 3 months ago
Download Eric Omondi  performance in Tanzania - Cheka Tu Mlimani City Mp3 and Videos
Eric Omondi performance in Tanzania - Cheka Tu Mlimani City by: Time Flixer - 3 months ago
Download Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1 by: YahStoneTown - 1 year ago
Download Number One - Nandy Featuring Joeboy (Official Video) Mp3 and Videos
Number One - Nandy Featuring Joeboy (Official Video) by: Nandy - The African Princess - 3 months ago
Download Mbosso - Yalah (Official Music Video) Mp3 and Videos
Mbosso - Yalah (Official Music Video) by: Mbosso - 1 months ago
Download MJENGO ANAOISHI NANDY MBEZI BEACH ANALIPA MILIONI 2.5 KWA MWEZI, ANAISHI NA BILLNASS.? Mp3 and Videos
MJENGO ANAOISHI NANDY MBEZI BEACH ANALIPA MILIONI 2.5 KWA MWEZI, ANAISHI NA BILLNASS.? by: Millard Ayo - 2 months ago
Download Salama Na RIYAMA Ep 32 | UTAKWENDA UTARUDI Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na RIYAMA Ep 32 | UTAKWENDA UTARUDI Part 1 by: YahStoneTown - 7 months ago
Download Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1 by: YahStoneTown - 1 year ago
Download Nandy "Billnass amekasirika sana, Amesema anataka watoto 6" / Pete lazima irudiwe / Milioni 70 Mp3 and Videos
Nandy "Billnass amekasirika sana, Amesema anataka watoto 6" / Pete lazima irudiwe / Milioni 70 by: EastAfricaTV - 2 months ago
Download Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1 Mp3 and Videos
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1 by: YahStoneTown - 3 months ago
Download PART II: BILLNASS: "BOSS RUGE ALINIPIGIA SIMU, NAMBA NAIJUA, NILIM-BLOCK NANDY" Mp3 and Videos
PART II: BILLNASS: "BOSS RUGE ALINIPIGIA SIMU, NAMBA NAIJUA, NILIM-BLOCK NANDY" by: Millard Ayo - 1 year ago
Download Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1 by: YahStoneTown - 9 months ago
Download Salama Na Darassa Ep 16 | KAWIA UFIKE Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Darassa Ep 16 | KAWIA UFIKE Part 1 by: YahStoneTown - 11 months ago
Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1
Download Format MP3 :




Download Format Videos :


© Copyright 2021 • Codedfilm • All Rights Reserved