Codedfilm

  • Category Video
    Nollywood Ghallywood Hollywood Bollywood Goals Highlight Latest Movies BBNaija Mark Angel ApataTv Yorubahood
  • About Us
  • Privacy Policy
  • Copyright Claims
  • Contact Us

Download Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 1

Loading the player...


Published on 20 February 2021 by YahStoneTown
Views: 345,020
Duration: 39:49

DOWNLOAD HERE

SHARE: Facebook Twitter
Codedwap

Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/supportSUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubsListen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNaAudiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNaKutoka kwao Mbeya mpaka Dar es Salaam kwaajili ya kutafuta maisha bora na maendeleo kama wengi wetu ndo ilikua nia na madhumuni ya Raymond wa enzi hizo. Ingawa kuna kipindi ilifika alikua hataki kabisa kuskia habari za muziki, ila alipoambia kama kuna pesa ndani yake katika huo mchongo wa mashindano ambayo aliitiwa na akiangalia nyumbani moja haikai na mbili haijulikani ilipo akaona basi sawa, kwani nini? Na huo ndo ulikua mwanzo wa safari nzuri ya ki superstar ambayo anaishi nayo sasa.Najua wengi wenu mlikua mnadhani labda yangezungumziwa madhila alokua nayo sasa ila kwa bahati mbaya (kwako) na nzuri kwetu, sisi tulizungumza naye kabla. So hii ilikua free na natural kama ambayo utaiona au kuiskiliza. Wengi wetu huwa tunapitia madhila na mitihani mingi tu kabla ya kujielewa na kusimama sawa sawa, na kupitia hayo ndo kujifunza na kuwa BORA kunatokea. Kuna msemo mmoja wa Kiswahili unaoenda kama, ‘asipo chafuka, atajifunzaje’, something like that.Mimi Ray huyu nilianza kumsikia vizuri zaidi kutoka kwa AY ambaye ali spend naye muda mwingi hapa Bongo wakati wanafanya rekodi remix ya Zigo na nchini Afrika ya Kusini wakati Zee ameenda ku shoot video ya wimbo huo ambao Diamond Platnumz ndo ameshirikishwa, ila Vanny Boy alikuwepo all the way na mpaka kwenye video akatokea. AY aliniambia kuhusu ucheshi wake na uhodari wake, na uhodari huo ameuzungumza humu kwenye maongezi yetu mimi na yeye. Aliniambia jinsi ambavyo alikua akitumia kipaji chake enzi hizo kwa kuwaandikia wenzake wimbo mmoja na pengine mpaka album kwa shilingi ELFU THELATHINI TU.Njia ambazo watu wengi wamepita haiwezi kuwa ndo njia ambayo kila mmoja wetu atapitia pia, ila kunaweza kuwa na mifanano ya hapa na pale, na hii ndo nia na madhumuni ya kipindi hiki. Tunataka wewe usikie na ujifunze ili ujue ‘unatokaje’ au watu walipenya vipi mpaka wakafika!Sasa ni mmoja ya wasanii wakubwa tu hapa barani Afrika na duniani anafahamika. Bango la album yake linaning’inia kwenye mitaa ya Times Square huko NY City kwenye mji ambao raia wa nchi mbalimbali duniani wanaishi na kupitia. Sidhani kama wakati anahangaikia kufua nguo zake zilizomwagikiwa mafuta ya mawese wakati akiwa safarini kwenye lori kutoka Mbeya kuja Dar aliwahi kuwaza jambo kama hilo.Mimi na yeye tulizungumzia pia mahusiano yake na wazazi wake, familia ya kufikia ya Baba yake ambaye aliachana na Mama yake na kuhamia na mtu mwengine si mbali na wao walipokua wanakaa. Tumeongelea mapenzi yake na muziki na kipaji chake cha uandishi. Tumeongelea jinsi ambavyo Madee alimpokea na Babu Tale ambavyo alikua na kama kusita hivi kwenye suala la yeye kusajiliwa WCB na mambo mengine mengi ya maisha. Yangu matumaini kama ilivyo ada, hapa utajifunza jambo pia.Tafadhali enjoy.Love,Salama.Soundtrack Yeah by @MarcoChali https://www.youtube.com/watch?v=Cue1HB4fnLQFollow:Twitter: http://twitter.com/YahStoneTownInstagram: http://Instagram.com/YahStoneTownFacebook: http://facebook.com/YahStoneTownChannel Administered by Slide DigitalInstagram: www.instagram.com/slidedigitaltz



Related Videos
Download Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 2 Mp3 and Videos
Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 2 by: YahStoneTown - 1 months ago
Download Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1 Mp3 and Videos
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1 by: YahStoneTown - 3 months ago
Download RAYVANNY - KWETU (Official video) Mp3 and Videos
RAYVANNY - KWETU (Official video) by: Rayvanny - 5 year ago
Download Eric Omondi  performance in Tanzania - Cheka Tu Mlimani City Mp3 and Videos
Eric Omondi performance in Tanzania - Cheka Tu Mlimani City by: Time Flixer - 3 months ago
Download  Mp3 and Videos
by: - -1 year ago
Download Salama Na Darassa Ep 16 | KAWIA UFIKE Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Darassa Ep 16 | KAWIA UFIKE Part 1 by: YahStoneTown - 11 months ago
Download Rayvanny ft Enisa-Number One Remix (Official Video) Mp3 and Videos
Rayvanny ft Enisa-Number One Remix (Official Video) by: Rayvanny - 1 months ago
Download Salama Na Romy Jons Ep 14 | PLUG Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Romy Jons Ep 14 | PLUG Part 1 by: YahStoneTown - 11 months ago
Download Salama Na DOGO JANJA Ep 34 | YENTE Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na DOGO JANJA Ep 34 | YENTE Part 1 by: YahStoneTown - 7 months ago
Download Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1 by: YahStoneTown - 1 months ago
Download Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1 by: YahStoneTown - 1 year ago
Download Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 2 Mp3 and Videos
Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 2 by: YahStoneTown - 2 months ago
Download Rayvanny Ft Zuchu - Number One (Official Video) Mp3 and Videos
Rayvanny Ft Zuchu - Number One (Official Video) by: Rayvanny - 4 months ago
Download Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 1 Mp3 and Videos
Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 1 by: YahStoneTown - 9 months ago
Download Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 2 Mp3 and Videos
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 2 by: YahStoneTown - 3 months ago
Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 1
Download Format MP3 :




Download Format Videos :


© Copyright 2021 • Codedfilm • All Rights Reserved